Afya ya mapenzi
Mpenzi wa Mellissa kutoka Nairobi hulala fofofo baada ya tendo la ndoa, na anahoji kama ni ugonjwa. Daktari anasema hali hiyo si ugonjwa kwa watu wengi na inatokana na mabadiliko ya homoni na uchovu wa mwili. Hata hivyo, ikiambatana na dalili nyingine, ni vyema kushauriana na daktari.