Gbagbo

Fuatilia

Mke wa Rais wa zamani wa Ivory Coast Simone Gbagbo ameidhinishwa kugombea katika uchaguzi ujao wa rais. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 76 atashindana na Rais aliye madarakani Alassane Ouattara katika kura ya Oktoba 25.