Tinubu

Fuatilia

Rais wa Nigeria Bola Tinubu ameanza likizo ya siku 10, ambapo aliagiza marekebisho ya usalama katika jimbo la Katsina. Likizo hiyo inaelezwa kama likizo ya kufanya kazi.