Safu ya Ushauri
Shangazi akujibu swali la mpenzi anayeweka picha za wanawake mitandaoni
Katika safu ya ushauri wa Taifa Leo, shangazi amejibu swali la msikilizaji kuhusu mpenzi wake anayeweka picha za wanawake kwenye Instagram na TikTok kila siku. Anasema hii ni kutafuta likes, si mapenzi. Anamshauri msikilizaji kumwambia mpenzi achague kati ya kuwa influencer au mpenzi wake.