Mahari

Fuatilia

Buda mmoja wa Katsemeri, Kilifi, amemkabidhi jombi binti yake na watoto wao watano bila kumuita mahari. Hii ni baada ya kuchoshwa na ugeni wake wa mara kwa mara nyumbani kwake. Jombi alikuwa akidai kuwa ni mchumba wake akisubiri mahari.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa