Urekebishaji tabia

Fuatilia

Ripoti ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali Nancy Gathungu imefichua hali mbaya ya magereza nchini, licha ya mageuzi makubwa yaliyoanzishwa na Makamu wa Rais wa zamani Moody Awori. Hali hiyo inakiuka Sheria ya Makazi, Usalama na Afya ya 2007. Ukaguzi ulifanyika baada ya kutembelea magereza 23 kati ya Julai na Agosti 2025.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa