Baraza la Magavana

Fuatilia

Gavana wa Tharaka Nithi, Onesmus Muthomi Njuki, amechaguliwa kwa kauli moja kuwa Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Magavana (CoG), akimrithi Gavana wa Nyeri Mutahi Kahiga. Uchaguzi ulifanyika wakati wa mkutano wa CoG mjini Naivasha. Kahiga alijiuzulu na kuondolewa wadhifa baada ya matamshi yake tata kuhusu kifo cha Raila Odinga.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa