Karen Blixen
Rais William Ruto alihudhuria harusi ya Ronnie Kiprono na Terry Mwendwa iliyofanyika katika Karen Blixen Museum siku ya Jumamosi, Aprili 12. Tukio hilo lilikutanisha viongozi wakuu wa kisiasa na wafanyabiashara mashuhuri kutoka muungano wa Kenya Kwanza. Ruto aliwapa wanandoa zawadi ya picha ya kipekee.