Kiharu

Fuatilia

Mbunge wa Kiharu, Ndindi Nyoro amezungumza kwa mara ya kwanza na kufafanua kwa nini alihepa kikao cha kumtimua aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua. Anasema yeye si fuko na hakubaliani na hatua hiyo.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa