Luhya
Wazee wa jamii ya Luhya walifanya kikao cha mashauriano na viongozi wakuu wa ODM kutoka eneo la Magharibi Desemba 11, 2025. Walijadili hatima ya ukanda huo baada ya Raila Odinga. Kikao hicho kilihusisha viongozi kama Wycliffe Oparanya na Opiyo Wandayi.