Magavana 12 wa kaunti nchini wametenga zaidi ya Sh8 bilioni kuendesha ofisi zao katika makadirio ya bajeti ya 2026/27, huku rekodi za kifedha zikionyesha matumizi makubwa kwa anasa badala ya maendeleo. Bajeti hii inachangia asilimia kubwa ya mgao wa kaunti, na baadhi ya magavana wakitumia zaidi ya Sh400 milioni kila mmoja. Uchunguzi unaonyesha matumizi ya Sh14.2 bilioni kwa magavana 43 katika kaunti 47.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa