Mzozo wa ndoa

Fuatilia

Mvua kubwa iliyonyesha Nairobi wiki iliyopita imesababisha mzozo mkali kati ya mwanamke na mumewe. Mwanamke huyo, mama wa watoto wanne, alimlaumu mumewe kwa kuchelewa kujenga nyumba ya mawe mashambani ili kuepuka hatari za mafuriko. Alisema, “Sitaki kufa mimi na watoto wangu. Turudi mashambani.”

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa