Matatu
Mamlaka ya Kitaifa ya Uchukuzi Barabarani (NTSA) imefutilia mbali leseni za kampuni nne za matatu kutokana na ajali nyingi wakati wa sherehe za Desemba 2025. Kampuni hizo ni Monna Comfort Sacco, Greenline, Naekana Route 134 na Uwezo Coast, ambazo zimeshindwa kufuata kanuni za usalama. NTSA pia imetoa onyo la siku 21 kwa Guardian na Nanyuki Express kurekebisha matatizo yao.