Matonya
Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (ODPP) bado haijakabidhi msanii wa Bongo Flava, Sefu Shabani Ramadhan almaarufu Matonya, stakabadhi muhimu za ushahidi. Mahakama ilifahamishwa kuwa upande wa mashtaka haujajitayarisha kikamilifu. Kesi imepangwa kusikilizwa Juni 17.