Migori

Fuatilia

Uhasama mkali wa kisiasa kati ya Gavana Ochilo Ayacko na Mbunge Mark Nyamita unaendelea katika Kaunti ya Migori. Nyamita ametishia kuacha ODM ikiwa chama kitampendelea Ayacko katika mchujo wa ugavana. Hii inaweka mchujo wa chama kinachoshikiliwa na Dkt Oburu Oginga katika hatari kutokana na ukosefu wa uwazi.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa