mauaji

Fuatilia

Msiba mara mbili umekumba Kaunti ya Bomet baada ya mwanaume anayeshukiwa kuua mpenzi wake mjamzito kufariki akiwa mikononi mwa polisi kwa madai ya kujitoa uhai. Caroline Chepkoech Ngetich, mwalimu mwenye umri wa miaka 33, alifariki Januari 5, 2026, na mshukiwa Anthony Njenga Kariuki alikufa Alhamisi jioni.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa