Mwingi

Fuatilia

Taharuki inazidi kutanda katika mji wa Mwingi, Kaunti ya Kitui, kufuatia mauaji ya mvulana wa miaka 14 huko Ukasi. Wakazi wamefanya maandamano na kusababisha kusimama kwa usafiri na biashara kwenye barabara ya Mwingi–Garissa. Polisi wamekamata waandamanaji na kuimarisha usalama.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa