Waziri wa Nishati Opiyo Wandayi amewataka viongozi wa upinzani kuwa waaminifu katika kusilisha sera zao. Alichukulia vibaya madai ya Kalonzo Musyoka na Eugene Wamalwa kuwa ripoti ya NADCO haijatekelezwa kikamilifu. Matamshi hayo yalitolewa wakati wa mazishi ya Beryl Odinga huko Bondo.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa