Barabara ya Nairobi-Nakuru

Fuatilia

Watu sita wamefariki katika ajali ya mgongano wa gari dogo na basi alfajiri ya Jumamosi katika eneo la Soysambu karibu na Gilgil kwenye barabara kuu ya Nairobi-Nakuru. Ajali hiyo ilihusisha Nissan Wingroad iliyokuwa na wanaume sita na basi la Promise Bus Company. Polisi wamesema abiria zaidi ya 30 wa basi walinusurika bila majeraha.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa