Ol Kalou

Fuatilia

United Democratic Alliance (UDA) imebadilisha tarehe ya nominations za Ol Kalou Constituency hadi Ijumaa, Mei 8, 2026. Hii ni siku moja mapema kuliko ilivyopangwa awali. Mabadiliko hayo yametokana na maombi ya wanachama na wagombea.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa