Viongozi wa Chama cha ODM katika Kaunti ya Kilifi wamepuuzilia mbali hatua ya Bi Aisha Jumwa, aliyekuwa waziri wa jinsia, kujiunga na Chama cha Pamoja African Alliance (PAA) ili kuwania ugavana wa 2027. Wameungana tena kuunga mkono Gavana Gideon Mung’aro wa ODM, akithibitisha nafasi yake kama kiongozi mkuu wa kisiasa katika kaunti hiyo.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa