Ushauri Binafsi

Fuatilia

Katika safu yake ya ushauri, Shangazi amejibu swali la msikilizaji ambaye mpenzi wake anazuia kuvaa nguo fupi au kutumia marashi. Anasema wivu uliozidi mipaka si mapenzi ya kweli. Mapenzi ya kweli yanatoa uhuru, si vizuizi.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa