Onyo la Umma

Fuatilia

Katibu Mkuu wa Afya ya Umma Mary Muthoni amewahimiza Wanakenya kuepuka kununua antibiotics bila agizo la daktari, hasa wakati wa sikukuu ambapo dalili kama kuhara na kutapika ni za kawaida.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa