Rufaa
Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Jaramogi Oginga Odinga (JOOTRH) katika Kaunti ya Kisumu inatarajiwa kuanza huduma za rufaa ya kitaifa mwishoni mwa Januari. Afisa Mkuu Mtendaji Dkt Joshua Clinton Okise alisema kamati ya mpito imekamilisha kazi yake na kukabidhi ripoti.