Barabara

Fuatilia

Wanne wamekufa na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika ajali mbaya ya barabarani katika eneo la Tegero kwenye barabara kuu ya Narok-Bomet asubuhi ya leo. Ajali ilihusisha lori na gari la saloon. Polisi wameanza uchunguzi.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa