Ghasia shuleni
Shule ya Sekondari Kangaru Boys katika Kaunti ya Embu imefungwa bila tarehe kutokana na mgomo wa wanafunzi ulioanza Jumapili usiku. Wanafunzi wengi wametoka shuleni na kusababisha msongamano mjini Embu. Sababu ya ghasia bado haijulikani.