Changamoto za mitandao

Fuatilia

Wizara ya Afya imetoa onyo kwa Wakenya dhidi ya kushiriki katika changamoto ya kushika miti kwa muda mrefu bila uchunguzi wa matibabu wa awali. Hii inafuata visa vingi vya watu kushindwa na kufikishwa hospitalini baada ya shughuli hiyo. Ongezeko la umaarufu la changamoto hiyo limechochewa na rekodi ya Truphena Muthoni ya saa 72.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa