Uswahili
Taifa Leo imefafanua kuwa taarifa yake kuhusu Bunge la Kaunti ya Mombasa kupiga marufuku vijiko, uma na visu katika migahawa ya Kisiwa cha Mombasa ilikuwa kichekesho cha Sikukuu ya Wajinga ya Aprili 1. Hatua hiyo haikutekelezwa na Bunge wala hakuna sheria kama hiyo. Taarifa ilichapishwa kwa kusudi la kichekesho.