Utafiti wa hivi karibuni wa Shirika la TIFA unaonyesha kuwa Wakenya wengi wanaamini kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga kimefanya iwe vigumu zaidi kwa Rais William Ruto kushinda uchaguzi wa 2027. Kulingana na uchambuzi huo, asilimia 41 ya wahojiwa wanasema itakuwa kigumu zaidi bila Raila, ambaye alifariki Oktoba 15.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa