Transmara

Fuatilia

Bunduki haramu tano na risasi 14 zimesalimishwa kwa polisi wa Angata Barrikoi, Transmara katika Kaunti ya Narok kufuatia mapigano makali. Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen ameeleza kuhusu tukio hilo.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa