Uke
Baadhi ya wanawake hupata maumivu wakati wa tendo la ndoa, hali inayoitwa dyspareunia. Utafiti unaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 60 ya wanawake huripoti visa hivyo. Hali hii inaweza kusababishwa na mambo kama mabadiliko ya homoni na magonjwa ya zinaa.