Mkataba wa kimataifa
Mahakama ya Rufaa imeondoa agizo lililozuia utekelezaji wa mkataba wa afya wa dola bilioni 1.6 kati ya Kenya na Marekani uliotiwa saini Desemba 2025.