Interns
Katibu Mkuu wa serikali Charles Hinga amethibitisha kuwa interns wa programu ya BOMA YANGU ya nyumba za bei nafuu watalipwa Alhamisi baada ya kushughulikiwa na malipo yaliyocheleweshwa. Amesema kuwa tatizo lilitokana na makosa katika bajeti mbili za exchequer. Hata wafanyikazi wakuu wa wizara hawajalipwa mshahara wa mwezi uliopita.