Migogoro ya Iran

Fuatilia

Uhaba wa mafuta umeanza kushuhudiwa maeneo mbalimbali nchini, hasa Nairobi na North Rift, licha ya serikali kusema akiba iko thabiti. Mvutano kati ya Iran, Marekani na Israeli kwenye Mlango wa Hormuz unaathiri usafirishaji wa mafuta kimataifa. Madereva wanalalamika kukosa petroli na dizeli vituoni.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa