Jamhuri Dei

Fuatilia

Rais William Ruto ameongoza sherehe za Jamhuri Dei nchi ikiadhimisha miaka 62 tangu ilipopata uhuru. Sherehe hizo zinazoendelea katika uwanja wa Nyayo Stadium, Nairobi, zilitumika pia kumkumbuka Hayati Raila Odinga ambaye aliaga dunia Oktoba 15, 2025. Sherehe hizo ziliandaliwa pia katika kaunti mbalimbali kama Siaya, Nyeri, Garissa na Homa Bay.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa