Bonde la Kerio
Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen ametangaza kupeleka kikosi maalum cha polisi Bonde la Kerio kuimarisha msako dhidi ya pombe haramu. Ameonya maafisa wanaoshirikiana na biashara hiyo watachukuliwa hatua za kinidhamu. Tangazo hili lilitolewa Metkei, Keiyo Kusini.