Wanaharakati wameitaka Tume ya KNCHR kuwa na uwazi katika mchakato wa fidia kwa waathiriwa wa maandamano ya Gen Z ya 2024 na 2025. Wamependekeza kuongeza siku za kukusanya data kutoka 60 hadi 90, na kuonya dhidi ya kuingiliwa na wanasiasa. Wanasema bajeti ya Sh2 bilioni haitoshi.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa