Soko la Kongowea
Mgomo wa bei ya mafuta ulioisha Jumanne ulifichua jinsi Mombasa inavyotegemea usambazaji wa chakula kutoka maeneo ya bara. Upungufu mkubwa ulitokea katika Soko la Kongowea na kusababisha bei kupanda.