Hati Miliki

Fuatilia

Familia moja ya Kasarini, Kaunti ya Kiambu, inatafuta msaada baada ya kudai maafisa wakuu wenye uhusiano na serikali wanajaribu kunyakua shamba lao la ekari 248. Wanadai kuwa watu wasiojulikana wameanza kufuatilia na kuwashambulia ardhi yao mara kadhaa hivi karibuni. Wanahitaji Wizara ya Ardhi iverifike hati miliki yao.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa