Kaunti ya Machakos

Fuatilia

Suleiman Maundu Ramadhan, mhandisi kutoka Tala, Kaunti ya Machakos, ameweka mifumo ya umwagiliaji ili kubadilisha ardhi kame kuwa uga wa kilimo mseto. Alipitia changamoto za soko wakati wa janga la Covid-19 lakini sasa ana mazao ya vitunguu na nyanya yanayozalisha tani nyingi kila msimu. Shamba lake linatoa ajira kwa wafanyakazi 24 wa kudumu.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa