Pareto

Fuatilia

Kenya inaendelea kupiga hatua katika mikakati kufufua pareto, zao la kibiashara lililojulikana kama dhahabu nyeupe. Kupitia juhudi za serikali, ubunifu wa kiteknolojia na ushirikiano wa sekta za binafsi, pareto inarudi katika nafasi yake kwenye kilimo cha nchi. Hata hivyo, zao hilo bado linalimwa kwa kiwango kidogo katika kaunti 19.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa