Zaidi ya wanachama 5,000 wa Kampuni ya Uwekezaji ya Safaricom (SIC) wakabiliwa na hatari ya kupoteza Sh2 bilioni kutokana na usimamizi mbaya. Ukaguzi maalum ulifichua kuwa sehemu kubwa ya ardhi iliyonunuliwa ni hewa au haiuziki. Mkutano Mkuu wa kila mwaka umeahirishwa huku kampuni ikitarajia hasara ya kwanza kwa miaka mitano.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa