Uhaba wa wafanyakazi

Fuatilia

Hospitali tatu kubwa za rufaa nchini, ikiwemo MTRH Eldoret, KNH na hospitali ya Nakuru, zinakabiliwa na upungufu wa wafanyakazi wa afya na msongamano wa wagonjwa. Ripoti za hivi karibuni zinaonyesha uhaba mkubwa wa wauguzi na madaktari wenye tajriba wanaohamia nje ya nchi. Hali hii inaathiri huduma za matibabu.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa