Starlet Wahu

Fuatilia

Mtaalamu wa maabara ya serikali, Bi Emilly Okworo, alishuhudia katika mahakama kuu kuwa sampuli za damu kwenye kisu na taulo kutoka chumba cha mauaji ya Starlet Wahu zililingana na DNA yake. Aidha, aligundua shahawa za mshukiwa John Matara kwenye kondomu iliyopatikana hapo. Matara ameshtakiwa kwa mauaji hayo na anazuiliwa katika gereza la Kamiti.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa