Wajane
Baada ya kifo cha mumewe mwaka 2008, Josephine Wainaina amekuwa akipambana na maisha magumu pamoja na watoto wake wawili. Askofu EllyJoy Moi wa kanisa la Holy Well of Bethel huko Limuru amewahimiza viongozi kuunda sera maalum za kuwalinda wajane dhidi ya unyanyasaji, kunyimwa mali na matatizo ya akili.