Mbuga za wanyamapori

Fuatilia

Gavana wa Taita Taveta Andrew Mwadime ameomba Bunge la Taifa kutekeleza ahadi ya Rais William Ruto kuhusu kugawanya asilima 50 ya mapato ya mbuga ya Tsavo. Ahadi hiyo ilitolewa miaka mitatu iliyopita lakini bado haijatekelezwa. Mwadime alipendekeza usimamizi wa pamoja na mgawanyo wa mapato.

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa