Mkoba usiokuwa na mwenyewe wazua kizaazaa uwanjani Moi Mombasa

Kulikuwa na taharuki katika uwanja wa ndege wa Moi, Mombasa, baada ya mkoba usiokuwa na mwenyewe kupatikana karibu na eneo la maegesho la wageni mashuhuri. Wataalamu wa bomu walifika na kudhibiti hali hiyo, na hakuna majeraha yoyote yaliyopatikana. Polisi wanasema mkoba huo ulikuwa na vifaa vya kutoa hewa kwenye magurudumu ya magari.

Mkoba wazua kizaazaa katika uwanja wa ndege Mombasa

Kulikuwa na taharuki katika uwanja wa ndege wa Moi, jijini Mombasa, jana, baada ya mkoba usiokuwa na mwenyewe kupatikana karibu na eneo la maegesho la wageni mashuhuri. Wataalamu wa bomu walifika kwa wakati uwanjani humo, huku juhudi zikiendelezwa za kuwaondoa abiria hadi eneo salama.

Kamanda wa polisi uwanjani humo, Evans Mose, alisema walichukua hatua kuhakikisha usalama wa abiria na wahudumu wa uwanja wa ndege. “Tulichukua hatua kuhakikisha hakuna hatari yoyote katika eneo hilo huku tukisubiri maafisa wataalamu wa kutegua mabomu wafike,” akasema Mose.

Alifichua kuwa polisi walio kuwa kwenye zamu waligundua mkoba huo na wakazingira eneo hilo kwa sababu za kiusalama. Wataalamu wa bomu walitumia teknolojia kutegua mkoba huo, na kulikuwa na mlipuko mkubwa uliosababisha taharuki lakini hali ilidhibitiwa.

Hakuna majeraha yaliyopatikana wakati wa shughuli hiyo, na hakuna jengo lolote la uwanja wa ndege lililoharibika. “Sasa hali imekuwa nzuri na shughuli zinaendelea kama kawaida,” akasema Mose.

Polisi walibaini kuwa mkoba huu ulikuwa na vifaa vinavyotumika kwenye karakarana kutoa pumzi kwenye magurudumu ya magari. Inashukiwa mkoba huo uliangushwa kimakosa na abiria, na uchunguzi unaendelea kubaini mmiliki wake.

Makala yanayohusiana

Police and bomb squad investigate suspected dangerous object on Ribersborg beach in Malmö at night, later declared harmless.
Picha iliyoundwa na AI

Suspected dangerous object on Ribersborg beach harmless

Imeripotiwa na AI Picha iliyoundwa na AI

A suspected dangerous object was found on Ribersborg beach in Malmö on Wednesday evening, prompting police to cordon off the area. The National Bomb Squad was called in after an initial photo assessment and later declared it harmless. The operation ended at 23:30.

Wivuvi katika eneo la Ziwa Victoria nchini Nyanza wamegundua bomu 20 hai katika matukio mawili tofauti. Bomu hizo zimechukuliwa na polisi na ziko chini ya ulinzi wakati wa uchunguzi. Asili yake bado haijulikani, lakini inawezekana kutoka migogoro ya zamani au enzi ya kikoloni.

Imeripotiwa na AI

Tension gripped south Neiva after a loud explosion alerted residents on Sunday afternoon. Specialized anti-explosives units conducted a controlled destruction of hidden explosives found in a wooded area, following a citizen's report. No injuries or major damage were reported.

Ajali kati ya lori mbili kwenye Barabara kuu ya Nairobi-Mombasa asubuhi ya Jumatatu ilisababisha moto mkubwa na msongamano mkubwa wa trafiki. Shahidi alisema kuwa timu ya uokoaji ilichelewa, na hivyo labda ilichangia vifo vya wawili. Barabara ilifungwa, na msongamano ulifika zaidi ya kilomita tano.

Imeripotiwa na AI

Security officers in Mandera County repelled a suspected al-Shabaab attack on a border police unit on Monday evening. The incident occurred at the Sheikhbarrow Border Police Unit in Lafey Sub-County around 6:45 pm. No casualties were reported.

Jumapili, 24. Mwezi wa tano 2026, 20:40:45

Six police suspended after explosives found near Modi route

Jumatatu, 4. Mwezi wa tano 2026, 02:38:42

DCI inazuia jaribio la kuiba mafuta ya ndege Wilson Airport

Jumatatu, 4. Mwezi wa tano 2026, 01:30:06

Polisi na waendeshaji boda boda wakigongana Vihiga juu ya kukamata pikipiki

Jumapili, 3. Mwezi wa tano 2026, 16:26:02

Polisi wanakamata basi la Nairobi likibeba risasi na sare za GSU

Jumamosi, 2. Mwezi wa tano 2026, 22:20:44

Explosion reported in stairwell in Malmö

Jumamosi, 2. Mwezi wa tano 2026, 15:54:28

Triple bomb threat hoax targets Viva Aerobus flights at AICM

Jumanne, 14. Mwezi wa nne 2026, 22:38:16

Suspected hand grenade found in Uppsala's Höganäs district

Ijumaa, 27. Mwezi wa tatu 2026, 05:29:15

Cash-in-transit van bombed near Midway Mall in Newlands West

Jumatano, 18. Mwezi wa tatu 2026, 11:07:59

Female suspect caught smuggling cocaine at Bole airport under investigation

Jumapili, 8. Mwezi wa tatu 2026, 01:57:26

NYC police investigate suspicious device near mayor's residence after protest bombing

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa