Pombe
Mwanahabari Willis Raburu amewasilisha kesi dhidi ya East African Breweries Limited (EABL) akidai Sh10 milioni kwa huduma za matangazo alizotoa bila malipo. Kupitia kampuni yake Steizon Limited, anataka mahakama isimamishe leseni ya EABL hadi deni lilipwe. Kesi hii inatokana na kampeni ya BebaBeba na matangazo ya Furaha City Festival.