Kalonzo: Sikuweka lami barabara ya kwangu Tseikuru sababu sijatawaliwa na ubinafsi

Kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyoka amejitetea dhidi ya shutumu za Rais William Ruto kuwa hajatekeleza miradi ya maendeleo kwa miaka 40, akifichua alikataa kuweka lami katika barabara inayoelekea nyumbani kwake Tseikuru ili kuepuka ubinafsi.

Wiki jana, kulikuwa na mabishano makali kati ya Rais William Ruto na Bw Kalonzo Musyoka kuhusu barabara za Kaunti ya Kitui. Rais Ruto alishangaza jinsi Bw Musyoka, licha ya kuwa serikalini kwa miaka 40, hakujenga barabara ya kuelekea nyumbani kwake Tseikuru, Mwingi Kaskazini, na akauliza ni vipi ataendeleza Kenya.

Bw Musyoka alisema yeye si mwenye tamaa na ameanzisha miradi mingi bila upendeleo. “Ningependa niambie Rais Ruto na wandani wake kwamba kuna usemi kwamba watoto wanakula kwanza, watu wazima wale wa mwisho na ninaamini kwamba mwishowe barabara ya lami itafika nyumbani Tseikuru,” alisema.

Alifichua kuwa wakati alipokuwa makamu wa rais, Katibu wa Wizara ya Barabara, Mhandisi Michael Kamau, alipendekeza kuweka lami ya kilomita 21 katika barabara ya Tseikuru-Kyuso, lakini alikataa na kusema ianzishwe kutoka Mwingi hadi Kamuongo. “Lazima viongozi waonyeshe haki wala si ubinafsi. Nilikataa barabara hiyo kwa sababu mimi si mtu mbinafsi. Nilionelea barabara ya Mwingi-Kyuso-Garissa itengenezwe kwanza,” akasema Bw Musyoka.

Aidha, alitaja mradi wa maji kutoka Kiambere hadi Mwingi kama moja ya mafanikio yake. Bw Musyoka alidai Rais Ruto anamlenga kwa sababu yeye ndiye kiongozi bora wa upinzani anayeweza kumshinda uchaguzini 2027, na akamshutumu kwa kujiwekea miradi katika makazi yake.

Makala yanayohusiana

President William Ruto announces Nyandarua University construction at former Ol Kalou MP's funeral, with crowd and banners.
Picha iliyoundwa na AI

Ruto announces Nyandarua University construction to start next month

Imeripotiwa na AI Picha iliyoundwa na AI

President William Ruto announced at the funeral of former Ol Kalou MP David Kiaraho that construction of Nyandarua University will begin next month. He committed Ksh 350 million for the groundbreaking phase and Ksh 1 billion for operations. The event also featured political exchanges between Ruto and Rigathi Gachagua.

President William Ruto has revealed progress on a project to tarmac more than 250 kilometers of roads in Nairobi County. He said 67 kilometers are already under construction, with the next 70 kilometers starting next week. The announcements follow a deal with Governor Johnson Sakaja.

Imeripotiwa na AI

President William Ruto announced plans for a World Bank-funded Class B road linking Narok and Nakuru counties during a church service in Kilgoris. He vowed action against officials implicated in a Ksh4 billion substandard fuel scandal. The remarks came during the April 5 service in Narok County.

President William Ruto has made major changes to his political strategy and allies in Kenya's Mount Kenya region to bolster support ahead of the 2027 general election. The new approach is led by Deputy President Kithure Kindiki and includes several UDA leaders and others. It comes as former Deputy President Rigathi Gachagua continues attacking the government.

Imeripotiwa na AI

Wiper leader Kalonzo Musyoka has claimed police attempted to assassinate him during an attack on an opposition convoy heading to Kikuyu. The convoy carried Kalonzo, Rigathi Gachagua and Eugene Wamalwa. Officers fired live rounds, teargas and rubber bullets.

Campaigns for Trans Nzoia County's 2027 governorship are gaining momentum as President William Ruto's allies position to unseat Governor George Natembeya. Three candidates have ramped up efforts to challenge him. The contest pits the Kenya Kwanza coalition against opposition forces.

Imeripotiwa na AI

Tanzanian MPs heaped praise on Kenya's President William Ruto after his address to their parliament in Dodoma on May 5, 2026, praying for his re-election in 2027. Ruto highlighted regional projects like the Tanga oil refinery, despite a public rebuke from President Samia Suluhu for not consulting first. The two-day state visit aims to strengthen diplomatic and trade ties between Kenya and Tanzania.

Jumapili, 31. Mwezi wa tano 2026, 17:59:48

Ruto announces revival of Modogashe-Samatar road project

Jumamosi, 16. Mwezi wa tano 2026, 11:12:56

Ruto confirms matulo airport expansion and nakuru-malaba highway

Jumapili, 26. Mwezi wa nne 2026, 07:44:27

President Ruto accused of relaunching Kiharu TVC project opened by Nyoro

Jumamosi, 25. Mwezi wa nne 2026, 09:09:49

Questions arise over Ruto claiming credit for Nyoro's project in Murang’a

Jumanne, 21. Mwezi wa nne 2026, 14:12:00

Tanzania rebuts Ruto's claim of Kenya's road superiority

Jumatano, 15. Mwezi wa nne 2026, 16:34:09

Ruto concludes Gusii tour by launching major projects

Jumamosi, 11. Mwezi wa nne 2026, 16:18:22

Ichung’wah accuses Gachagua-linked mobiliser over Southern Bypass blockade

Jumatatu, 23. Mwezi wa tatu 2026, 11:14:54

Ruto concludes Nyanza tour with rail launch and projects, disrupting opposition

Ijumaa, 20. Mwezi wa tatu 2026, 13:25:44

Ruto rebukes opposition and approves Kisumu projects

Jumatatu, 16. Mwezi wa tatu 2026, 13:49:37

Opposition claims government has seized economic sectors

 

 

 

Tovuti hii inatumia vidakuzi

Tunatumia vidakuzi kwa uchambuzi ili kuboresha tovuti yetu. Soma sera ya faragha yetu kwa maelezo zaidi.
Kataa